Hawa Ndio Watuma Salamu Maarufu Redioni na kwenye TV

Kasomi

JT Founder
Hakuna watu waliokuwa watuma salamu maredioni kama hawa
1759062080111.jpg

1- Fundi Khamis Full Migebuka wa Kigoma

2- Lawena Sonda Baba Mzazi baba kutoka Makongorosi Chunya, Mbeya

3- Goligota Magabe wa GGM Geita

4- Mwalimu Kennedy Mpemba wa Kagongwa Kahama

5- King Majuto wa Geita

6- Ally Mrangi Gigiri Mlesa wa Mabibo

7- Dullah H dullah wa Urambo Tabora

8- Oscar dereva bajaji

9- Siza Kitego Kutoka Mwananyamala

10- Mbogo Dereva Bajaji

11-Top Manyota Mwanachama Wa Tamu Tamu Salamu Klabu

12- Abdallah Kambenga

13- Dullah H Dullah kutoka Urambo Tabora

14- Wasaka Tonge Salamu Club

15- Baba Nurati Mfuga Njiwa

16- Daudi wa Kota

17- Boazi Karanje

18- Mtoto wa Vitoto

19- Waziri Dero

20- Joshua Turuka

21- Fadhili Kangusi

22- Mkali Buntu

23- Eliud Samwel

24- Riziki minde wa Kwata Unit

25- Chesko Mzee wa Matunda

26- Sharo Gangster

hawa ni salute kwao 🙌🙌

👉Hawa walikuwa wana uwezo wa kusikika zaidi ya redio tano tofauti ukiwakosa kwenye kupiga simu utawakuta kwenye comment za BBC dira ya dunia wakijimimina.

Utasikia King Majuto Wa Geita anasema "ewe Putini acha vita mara moja wewe si mkubwa mbele ya dunia"😳😳
 
Back
Top