Kasomi
JT Founder
Meta imesema kuanzia mwakani, kampuni zote za AI zitashindwa kutumia WhatsApp.
Kwa akili bandia kama vile ChatGPT na Perplexity zinaweza kutoa huduma zake ndani ya app ya WhatsApp na watumiaji wa WhatsApp wanaweza kuchat na ChatGPT ndani ya WhatsApp bila kulazimika kutumia app ya ChatGPT.
Katika sheria mpya, WhatsApp itazuia huduma hizo na watumiaji wa WhatsApp watalazimika kutumia Meta AI tu ndani ya WhatsApp.
Baada ya tangazo hilo, OpenAI imesema January 15, 2026 itaondoa huduma za ChatGPT ndani ya WhatsApp; pia Perplexity imesema itafuta akaunti yake ya WhatsApp.
ChatGPT na Prexplexity zimeanza kukimbilia Telegram kwa sababu Telegram haijazikataza AI hizo kupatikana kwa watumiaji wa Telegram.
Inawezekana Meta imeweka mabadiliko haya ili kushusha nguvu ya ChatGPT na kutaka watumiaji wa mifumo ya Meta kutumia Meta AI.