```LEO HII NAWASHAURI WANAUME ????
MOJA
Mwanamke Sio Rula iliyonyooka Kusema Kwamba Hakosei Bali Anapokosea Adhabu Yake Sio Ngumi Ni Mawaidha Kumpatia
```????????????????????????
```PILI```

```Mke anatakiwa kupewa maneno mazuri sio kila neno linaweza kumpa furaha jaribu kuangalia na kujitathmin ni lipi neno la kumwambia```
????????????????????????????????????
``TATU
????????????????????????
Usifichue Udhaifu Wa Mke Wako Kwenye Familia Na Marafiki Zako Kwani Ukifanya Hivyo Itakurudia Mwenyewe Tambua Wewe Ndio Mlinzi Wa Mke Wako Nae Ni Mlinzi Wako
????????????????????????
`NNE
????????????????????????
Usimkataze Mke Wako Kushika Simu Yako Baada Ya Kuita Kwa Kuiwahi Wewe Kabla Hata Ajaona Mtu Ambaye Anae Kupigia Tambua Unacho Kichukulia Tahadhari Siku Kikija Kugundulika Ndoa Yenu Itapata Mitikisiko```
????????????????????????
```TANO
????????????????????????????
Usiogope Kuchekwa Na Watu Eti Kisa Kwa Kumsaidia Mke Wako Shughuli Za Ndani Tambua Mke Wako Sio Mtumwa Isipokuwa Ni Msaada Wako
????????????????????