Mabadiliko ya Logo ya JamiiTalk

JamiiTalk

Official Support Account
JamiiTalk imefanya mabadiliko ya Logo yake ambayo inatumika kama Favikoni.

Hii ni logo iliyokuwa ikitumika awali
IMG_20250810_222109_903.jpg


Na hii ni logo mpya ambayo itatumika pia kama Favikoni (favicon)
JamiiTalk favicon.png

Hayo ni mabadiliko machache yaliyofanyika. Lakini Logo yake yenye Neno JamiiTalk itaendelea kutumika kama kawaida.

JamiiTalk Logo update
IMG-20260429-WA0004 (1).jpg

Endelea kuwa sehemu ya JamiiTalk
 
Back
Top