NAMNA YA KUISHI NA MAWIFI
WAKOROFI KWA WEMA
SEHEMU YA KWANZA
●●●●●●○○○○○○●●●●●●
Maisha Ya Ndoa Ni Matamu Sana Ikiwa Mume Na Mke Wataishi Kwa Amani Na Upendo. Lakini Wakati Mwingine Ndugu Wa Mume Hasa Mawifi Huweza Kusababisha Timbwili Katika Ndoa Na Kuifanya Kuwa Chungu
Baadhi Ya Mawifi Mara Nyingi Huwa Na Gubu Hujikuta Wakiwa Kwenye Chuki Na Mke Wa Kaka Yao Kwa Sababu Za Hapa Na Pale Lakini Kubwa Zaidi Wao Hujiona Wana Haki Zaidi Kuliko Mwanamke Huyo Kwa Sababu Mumewe Ni Ndugu Yao Wa Damu
Na'aam Hizo Ni Changamoto Za Kawaida Kwenye Maisha Ya Ndoa. Wanawake Wengi Hujikuta Katika Wakati Mgumu Pindi Wanapo Kuwa Wanaishi Na Mawifi Wakorofi Ndani Ya Nyumba. Hata Hivyo Zipo Baadhi Ya Njia Ambazo Waweza Zitumia Ili Kukabiliana Nao Maana Ukweli Ni Kwamba Wao Watabaki Kuwa Ndugu Wa Damu Na Mume Wako Kipenzi. Lazima Busara Zitumike Sana Ili Kulinda Ndoa Yako Na Pia Kulinda Undugu Wa Mumeo Na Dada Zake
JEE UMEKUMBANA NA MAWIFI WAKOROFI AMBAO WANAKUPA MANENO YENYE KERO KWA SABABU MBALIMBALI WANAZO ZIJUA HAO WENYEWE.....?
Labda Hujabahatika Kupata Mtoto Kwenye Ndoa Yako Na Mawifi Zako Wanakutolea Maneno Ya Shombo.....!!!
UNGANA NAMI: FAIDA Potea kijana wa Mwanza NIKUJUZE MAMBO
MAWILI MATATU YATAKAYO
KUSAIDIA KUISHI NA WIFI
ZAKO KWA WEMA
●●●●●●●●●●●●●●●●●
KWANZA KUWA NA BUSARA
○○○○○○○○○○○○○○○○○○○○○○○
Bi Dada Watakiwa Uwe Na Busara Na Moyo Wa Uvumilivu Ili Uweze Kukabiliana Na Mawifi Wakorofi. Kwani Mwingine Yuaweza Kuwa Kazi Yake Ni Kulala Tuu Kutwa Nzima Bila Ya Kukusaidia Kazi Za Nyumbani Alafu Mumeo Anakuja Kutoka Kwenye Mihangaiko Yake Ya Kutafuta Rizki Chakulala Anakuwa Wa Kwanza Kusema Maneno Ya Ajabu Ajabu Wengine Hufika Mbali Sana Paka Kuwaambia Kaka Zao Kwamba Yeye Akiondoka Mke Naye huondoka Inshort Yuamwambia Kaka yake Kwamba Mkewe Hashindi Nyumbani
Bi Dada Kuwa Na Subra Hata Kama Kamwambia Kaka yake Kuwa Wewe Hushindi Nyumbani Baada Ya Yeye Kuondoka Na Akaongeza Na Maneno Mengine Mengi Kutokana Na Chuki Zake Binafsi Basi Wewe Kama Mke Unapaswa Kutumia Busara Zako Ili Kuweka Mambo Sawa. Kumbuka Hao Ni Mtu Na Ndugu Yake Kwa Hivyo Ni Ngumu Sana Kuwachonganisha Kama Ukitumia Maneno Makali Na Kujibizana Na Wifi Yako Au Mumeo
Kumbuka Kimya Ni Jibu Tosha Kwa Mjinga Hivyo Basi Kujibizana Na Wifi Yako Mbele Za Mumeo Inaweza Kuwa Chanzo Cha Yeye Kuamini Yale Aliyo Ambiwa Na Dadake Kuwa Niya Ukweli. Wewe Jifanye Kama Mjinga Tuu Lakini Mwisho Wa Siku Mjinga Atajulikana Ni Nani Wewe Nyamaza Usikilize Mashtaka Atayopewa Mumeo Tulia Wala Usipapatike Nafsi Yako Ila Ukiulizwa Swali Mbele Yake Unatakiwa Mjibu Sema Tuu Hayo Asemayo Siyo Kweli Kisha Tulia Wala Usiwe Na Makuu
Kitu Kimoja Kiweke Akilini Inawezekana Wifi Yako Akawa Amepandikiza Maneno Juu Yako Sababu Ya ChukiZake Binafsi Au Yuakuonea Wivu Jinsi Mumeo Anavyo Kupenda Kukujali Na Kudekeza Ambayo Mambo Kama Hayo Ni Ya Wawili Tuu Wapendanao Na Sio Kwa Ndugu Baada Ya Fitna Zilizo Pandwa Kwenye Akili Yake Na Dadake Lazima Mumeo Atakuwa Na Hasira
Maneno Yote Na Hasira Zote Atakazo Kuwa Nazo Mumeo Watakiwa Mkamalize Chumbani Muache Mumeo Hasira Zake Zitulie Baada Ya Kuoga Na Kula Chakula Cha Usiku Ataingia Chumbani Kwa Ajili Ya Kupumzika Usimsumbue Muache Alale MPaka Pale Usingizi Utakapo Mpitia Na Kama Ataanza Yeye Mazungumzo Kwa Kukukaripia Basi Usijibizane Naye Zaidi Ya Kumuomba Msamaha Ila Kama Atabaki Kimya Basi Muache Alale Hadi Usiku Uwe Mkubwa Kisha Muamshe Kimahaba Alafu Uzungumze Naye Kwa Lugha Tamu
Mueleze Kuwa Maneno Ya Wifi Yako Siyo Ya Kweli Tena Muite Wifi Sio Useme "Dadako" No Sema Wifi Tena Utumie Lugha Nzuri Ya Ushawishi Ili Akuelewe Na Kama Kuna Mazingira Yoyote Ambayo Wifi Yako Alikuwa Ameyatengeza Yanayo Sababisha Kutoelewana Kwenu Unapaswa Kuweka Bayana. Kwa Kutumia Lugha Nzuri Ni Wazi Kwamba Mumeo Atakuelewa Na Kukusamehe Ambapo Naamini Kuwa Usiku Huo Utakuwa Wa Kila Aina Yeye Furaha Na Bashasha Zilizo Jaa Cheche Za Mapenzi
ITAENDELEA.........
Tuishie Hapa Kwa Leo Sitaki Niwachoshe Wadau Wangu Tutaendelea InShaaAllah
Tuseme In shaa Allah ")