Announcement Sasa Tumia Moja Kwa Moja GIFs (GIPHY) kwenye Mtandao wa JamiiTalk

Kasomi

JT Founder
Kwa Sasa unaweza tumia mfumo wa Graphics Interchange Format (GIF) kutoka Giphy ndani ya mtandao wa JamiiTalk wakati ukiandika uzi (Thread) au kutoa maoni (reply).

Jinsi ya kutumia GIFs
Bonyeza vidot vitatu vya pili kutoka kushoto au kulia (vilivyo katikati)
Mfano pichani hapo

IMG-20250316-WA0032.jpg


Baada ya hapo kitatokea hicho kialama Cha GIF hapo chini Kisha kibonyeze.
Hapo GIFs mbalimbali zitatokea

IMG-20250316-WA0033.jpg

Hapo unaweza bonyeza GIF upendayo, ili kuona GIFs Zaidi unaweza shuka chini au unaweza tafuta kwenye kibox kilicho andikwa search

IMG-20250316-WA0034.jpg


Hapo utaandika aina ya GIFs unazohitaji na hivyo ndivyo utakavyo weza kutumia GIFs ndani ya JamiiTalk.

Weka GIF upendayo hapo chini

Season 2 Reaction GIF by The Office
 

Similar threads

Back
Top