Search results

  1. Simulizi

    MASOMO yangu ya Chuo Kikuu niliyasoma kimachale sana

    Anaandika Mdau, TBT⏩MASOMO yangu ya Chuo Kikuu niliyasoma kimachale sana! Sikuwahi kukaa hostel za wanafunzi labda kipindi cha mitihani au nilipopigwa sup (supplimentary). Nilihakikisha sidisco lakini ukweli kabisa sikuwa na morali ya kusoma kama ambavyo nilikuwa nasoma nikiwa kidato cha 1 hadi...
  2. Simulizi

    Mkasa wa Lwanda Magere: Utajiri Wa Nguvu Za Giza Ulivyoharibu Maisha Yangu

    UTAJIRI WA NGUVU ZA GIZA ULIVYOHARIBU MAISHA YANGU- Hiki ndicho kisa cha pili cha maisha ya Lwanda Magere, hapo mwanzo nilisema kuna visa viwili, vya Lwanda Magere cha kwanza nimeshakisimulia. Bonyeza hapa kusoma Hivyo hiki ni kisa cha pili. KARIBUNI MJIFUNZE. MKASA WA PILI- Sehemu ya 1...
  3. Simulizi

    Mkasa wa Kweli wa Lwanda Magere Mwaka 2000 mpaka 2001

    Lwanda Magere ana Mikasa Miwili ambayo tutakuletea hapa Tutaanza na Mkasa wa Kwanza na Msimuliaji ni Lwanda Magere mwenyewe hivyo tunanukuu kama alivyo simulia MKASA WA KWANZA - MWAKA 2000 - 2001. Sehemu ya 1. Nilizaliwa mwaka 1986 wilayani Tarime,mkoa wa Mara,nchini Tanzania.Wazazi wangu...
  4. Simulizi

    Kama una Dakika 7 hebu niazime nikufundishe namna ya kuishi na MWANAUME ambaye anapenda kulalamika lalamika!

    Kama una Dakika 7 hembu niazime nikufundishe namna ya kuishi na MWANAUME ambaye anapenda kulalamika lalamika! Kuishi na mwanaume ambaye anapenda kulalamika kila kitu kidogo kunaweza kuwa changamoto kubwa na kama ni ndoa basi ukaiona chungu hatakama hakupigi wala kukutukana. Mara nyingi...
  5. Simulizi

    Nalilia Watoto Wangu

    NALILIA WATOTO WANGU Nimekuwa kwenye mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 8 bila kujua kuwa ana mke wake. Mwanaume huyu tulikutana miaka 8 iliyopita alipokuja nchini kwa likizo akitokea Canada anapoishi na kufanya kazi. Alinipenda mno na hakuwa mtu wa maneno mengi zaidi ya kuniambia mara kwa...
  6. Simulizi

    Chombezo: Staili 8 Bao Moja🔞

    1-3 Chombezo: STAILI 8 BAO MOJA EP 01 🍆🔞 Ndugu zangu, wapendwa wangu, sina ya kuwaogopesha juu ya wanawake. Ninaweza nikawa ni mmoja tu mpumbavu, naam mpumbavu ndio. Naitwa Rozi, nina mwaka wa nne sasa katika ndoa yangu. Sijui nikikwambia kuwa nilimpenda mume wangu kupita maelezo...
  7. Simulizi

    MY STORY; Mfanyakazi Kutoka Nyumbani

    MY STORY; Mfanyakazi Kutoka Nyumbani! Kuna wakati nililetea mfanyakazi kutoka nyumbani kwetu, aliyenitafutia alikuwa ni mama yangu mzazi. Hii ni baada ya kusumbuka sana kutafuta wasichana wa kazi. Mwanzo wakati anakuja kila kitu kilikuwa vizuri, alikuwa anahudumia watoto vizuri na mke wangu...
  8. Simulizi

    MY STORY; Ukisikia kufunzwa na ulimwengu basi mimi ndiyo ulimwengu mwenyewe! Mchumba wangu kaniacha kaenda kuoa wakati nimeenda kujifungua

    MY STORY; Ukisikia kufunzwa na ulimwengu basi mimi ndiyo ulimwengu mwenyewe! Mchumba wangu kaniacha kaenda kuoa wakati nimeenda kujifungua! Baada ya kumaliza chuo sikuenda nyumbani, kuna kazi nilipata hivyo moja kwa moja nilianza kufanyakazi na tukaanza kuishi na mwanaume wangu ambaye...
  9. Simulizi

    Simulizi: Miss Peppy

    MISS PEPPY🥵💦🔥 SEHEMU YA 01~05 _________________________________ Linapokuja swala la kukimbia Mimi ni zaidi ya upepo 😂, No! ni zaidi ya kasi ya risasi.....najikubali sana kuliko kitu chochote wala sihitaji maoni yenu 🤸 Jina langu naitwa Manuu watu wengi wanapenda kuniita Miss peppy 🥰 Najua...
  10. Simulizi

    Simulizi: Moyo wa Kweli

    MOYO WA KWELI 1-5 01 (Baada ya kukutana na Ava, alisahau kama safari ya mapenzi ni udanganyifu mtupu....🥂) Karibu 🖐️ Si kila mtu unayekutana naye katika maisha ni mdanganyifu, wengine ni faraja ilioletwa duniani kuwa tabasamu kwa watu wengine. Ni wachache sana wanaoamini katika huu kweli...
  11. Simulizi

    Simulizi: UNBROKEN BOND

    UNBROKEN BOND Epsde..1 Whtsapp 0786193547 Mwandishi namtunzi Happy charles 🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎 UTANGULIZI Urafiki wajinsia mbili tofauti yani wakike nawakiume uwa unaleta maswali mengi sana kwenye jamii Yetu nataswira zaajabu tu Kila mtu akisema lake niwapenzi wingine uwona nimarafiki tu Ichi...
  12. Simulizi

    MASTER OF SNACKS MTUNZI; HUSQER BALTAZAR

    MASTER OF SNACKS 🍡🍔 01 MTUNZI; HUSQER BALTAZAR 0657762790 Nimezaliwa katika familia where my twin brother alikuwa na akili mingi sana kuliko hata robot za Elon musk But niseme nini 😭 haikuwa bahati yake kupewa awards ya mwanafunzi bora. Alipoteza maisha baada ya kupewa taarifa za kuibiwa kwa...
  13. Simulizi

    SIMULIZI: MAMA MKWE MCHAWI

    SIMULIZI: MAMA MKWE MCHAWI SEHEMU YA KWANZA (01) "Hivi we mwanamke mie kila siku niwe naongea tu, naongea ili unifanye nionekane mbaya kwa majirani sindio?" Bwana Brison Aidan aliuliza kwa ukali punde baada ya kufunua Hotpot ya chakula alicholetewa na mke wake Bi Paulina, mkewe alistaajabu kwa...
  14. Simulizi

    Simulizi: GENERAL’S DAUGHTER

    Simulizi: GENERAL’S DAUGHTER (01) Mtunzi: Kalmas Konzo Simu: 0625 646265 Camp 26 ilikuwa ni kambi maalum ambayo ilikuwa imeandaliwa kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa kikosi maalum ambacho kilikuwa kimekusudiwa kuanzishwa na jeshi la ulinzi la Bantu. Kazi ya kikosi hiki itakuwa ni kutekeleza misheni...
  15. Simulizi

    Simulizi: NI YEYE ❤️

    😊😊😊😊 1------5 Simulizi: NI YEYE ❤️ Sehemu: 01 Utangulizi... Maisha Huwa hayaend vile unavotaka wewe ila yanaenda vile yanavotaka yenyewe na siku zote acha matukio yapite kama yalivopangiliwa na muda uongee ukweli,maana muda ndo una majibu sahihi ya maisha ya mtu unaweza kuwa ulipata kuwa mtu...
  16. Simulizi

    Utambulisho wa ukurasa wa Simulizi

    Simulizi ni ukurasa kwa ajili ya kuweka Simulizi mbalimbali ziwe za maisha halisi au za kutunga zinazo kusanywa kutoka kwa wahusika mbalimbali. Unaweza shiriki Simulizi yako nasi tutaituma hapa huku tukitaja chanzo au kutoa sifa kwa mwandishi panapo bidi. Hivyo utapata mkusanyiko wa Simulizi...
Back
Top