Kasomi
JT Founder
Dondoo za kuzingatia kabla hujatuma ombi la kutafuta mwenza:
1- Eleza sifa za unayemuhitaji za nje na ndani, zikihusisha vitu kama umri, umbo, dini, upendavyo (walau hints), kazi na hata uraia.
2- Hakikisha hizo sifa ulizotaja za unayemuhitaji na wewe pia umeainisha zako.
3- Kama mwenye sifa unazohitaji yupo JamiiTalk, tafadhali mtumie ujumbe binafsi (PM).
4- Toa contacts walau e-mail address na sio mawasiliano ya namba za simu (JamiiTalk haitohusika kwa matatizo yenu binafsi).
5- ukipata Mwenza usimuanike Jukwaani Pasipo Maelewano (usimtaje pasipo ridhaa yake)
6- Faragha zote mtakazo wasiliana na mwenza PM usilete Jukwaani (Moderator watafuta na kukufungia kwa muda)
- Na mengineyo ya muhimu