Advertise here

Hii hapa ni Top 10 ya wasanii wa Tanzania ambao ni ndugu wa damu, wengine familia na ukoo mmoja

Kasomi

JT Founder
Hii hapa ni Top 10 ya wasanii wa Tanzania ambao ni ndugu wa damu, wengine familia na ukoo mmoja japo namba 2 itakushangaza.
Screenshot_20250507-131447 (1).png

1. TID na Kalapina (Mama Mkubwa na mdogo)

2. AY na Nay wa Mitego (Mama zao familia moja)

3. Rich Mavoko na Tin White (Baba Mmoja mama mmoja)

4. Lady Jaydee na Wakazi (Mtu na binamu yake)

5. Jaivah na Abbah (Ndugu wa damu)

6. Prof Jay,Black Rhino,Simple X,Donkoli (Tumbo moja)

7. Vanessa Mdee,Mimi Mars (Baba mmoja mama mmoja)

8. Joh Makini na DC Nikki wa Pili (Baba mmoja na mama mmoja)

9. Alikiba na Abdukiba (Toka nitoke kwa Mama na Baba Kiba)

10. Diamond Platnumz na Queen Darleen (Baba Mmoja)
 
Back
Top