Mwanamke anapotafuta kuwa na mwanaume kwenye mahusiano mara zote anatafuta usalama wake.(kama haujui mwanamke ndiye kabeba hazina na kibari ndani yake)
Utaona wanawake wengi hanawana shida ya kutafuta utajiri ila wanashida ya kutafuta mume.
Utakubaliana na mimi kwamba Wanawake wengi wanaoombewa na kwenda kwa waganga wengi wao wanahitaji waume wazuri na sio utajiri.
Kwa sababu kuna kitu ndani yao huwaaminisha kwamba akipata mwanaume mzuri basi kiu yake itaisha.
So akija kwa mwanaume atahitaji apewe dira ya nini cha kufanya na huyo mwanaume ili kuufurahisha moyo wa wake. Huo ndio anaoona ni usalama wake.
So cha kushangaza ni hiki anapokuja kwenye mikono ya mwanaume anakutana na mwanaume asiyejua anapaswa kufanya nini, mwanaume ambae bado hajitambui...
Nini kinatokea baada ya hapo?
Ni kutoridhika kwa huyu mwanamke aliyeingia nae kwenye mahusiano.
Na unajua nini kinatokea mwanamke asiporidhika?
Ndipo tunapata frustrated man(mwanaume aliyechanganyikiwa) mwanamke hawezi kukuacha salama. Atakuchanganya hadi umpe kazi ya kufanya.
Asipokuwa na kazi ya kufanya atakusumbua tu kwasababu ndani yake kuna vinu vyanyuklia (potential power)ambayo inachemka na inahitaji kuingia kazini.
So ili tupate mahusiano bora tunahitaji kuwa na mwanaume anayejitambua + mwanamke anayemtambua au anayemfahamu amebeba potential gani ndani yake kwa ajili yake.
E.M