Kasomi
JT Founder
January Makamba Aachwa Njiani kinyang'anyiro cha Ubunge?
Mbunge wa Jimbo la Bumbuli anayemaliza muda wake, January Makamba, jina lake halikuwepo kwenye orodha ya waliopitishwa katika ngazi ya Wilaya ya Lushoto.
Sasa macho yote yako kwenye ngazi ya Mkoa wa Tanga, ambapo hatma yake itajulikana endapo atarejeshwa na kuingizwa kwenye orodha ya Tatu Bora.
Je, unadhani atarejeshwa au safari yake imefikia tamati, wana Bumbuli safari Hii malalamiko yamekuwa Mengi?