Advertise here

Hili ndilo Baraza la Mawaziri lililotangazwa na Mheshimiwa Rais leo tarehe 17/11/2025

Kasomi

JT Founder
1763389782756.jpg
1763389786359.jpg
1763389790543.jpg
1763389794203.jpg
 
1. Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
a) Waziri: Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete
b) Naibu Waziri: Mhe. Regina Ndege Qwaray


2. Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji
a) Waziri: Mhe. Prof. Kitila Alexander Mkumbo
b) Naibu Waziri: Mhe. Pius Stephen Chaya


3. Ofisi ya Rais - Maendeleo ya Vijana
a) Waziri: Mhe. Joel Arthur Nanauka

4. Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira
a) Waziri: Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni
b) Naibu Waziri: Mhe. Dkt. Festo John Dugange

5. Ofisi ya Waziri Mkuu - Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu
a) Waziri: Mhe. William Vangimembe Lukuvi
b) Naibu Waziri: Mhe. Ummy Hamisi Nderiananga

6. Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira na Mahusiano
a) Waziri: Mhe. Deus Clement Sangu
b) Naibu Waziri: Mhe. Rahma Riadh Kisuo

7. Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI) Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
a) Waziri: Mhe. Prof. Riziki Silas Shemdoe
b) Naibu Waziri (Elimu): Mhe. Reuben Nhamanilo Kwagilwa
c) Naibu Waziri (Afya): Dkt. Jafar Rajab Seif

8. Wizara ya Fedha
a) Waziri: Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar
b) Naibu Waziri: Mhe. Laurent Deogratius Luswetula
c) Naibu Waziri: Mhe. Mshamu Ali Munde

9. Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
a) Waziri: Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo
b) Naibu Waziri: Mhe. Dkt. Ngwaru Jumanne Maghembe
c) Naibu Waziri: Mhe. James Kinyasi Millya

10. Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
a) Waziri: Mhe. Boniface George Simbachawene
b) Naibu Waziri: Mhe. Denis Lazaro Londo

11. Wizara ya Kilimo
a) Waziri: Mhe. Daniel Godfrey Chongolo
b) Naibu Waziri: Mhe. David Ernest Silinde

12. Wizara ya Maji
a) Waziri: Mhe. Jumaa Hamidu Aweso
b) Naibu Waziri: Mhe. Kundo Andrea Mathew

13. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
a) Waziri: Mhe. Dkt. Rhimo Simeon Nyansaho

14. Wizara ya Ujenzi
a) Waziri: Mhe. Abdallah Hamis Ulega
b) Naibu Waziri: Mhe. Mhandisi Godfrey Msongwe Kasekenya

15. Wizara ya Uchukuzi
a) Waziri: Mhe. Prof. Makame Mbarawa Mnyaa
b) Naibu Waziri: Mhe. David Mwakiposa Kihenzile

16. Wizara ya Viwanda na Biashara
a) Waziri: Mhe. Judith Salvio Kapinga
b) Naibu Waziri: Mhe. Patrobas Paschal Katambi

17. Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
a) Waziri: Mhe. Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki
b) Naibu Waziri: Mhe. Switbert Zacharia Mkama

18. Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum
a) Waziri: Mhe. Dkt. Dorothy Onesphoro Gwajima
b) Naibu Waziri: Mhe. Maryprisca Winfried Mahundi

19. Wizara ya Afya
a) Waziri: Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa
b) Naibu Waziri: Mhe. Dkt. Florence George Samizi

20. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia
a) Waziri: Mhe. Prof. Adolf Faustine Mkenda
b) Naibu Waziri: Mhe. Wanu Hafidh Ameir

21. Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
a) Waziri: Mhe. Dkt. Leonard Douglas Akwilapo
b) Naibu Waziri: Mhe. Kaspar Kaspar Mmuya

22. Wizara ya Maliasili na Utalii
a) Waziri: Mhe. Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji
b) Naibu Waziri: Mhe. Hamad Hassan Chande

23. Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
a) Waziri: Prof. Palamagamba John Kabudi
b) Naibu Waziri: Mhe. Hamisi Mwinjuma
c) Naibu Waziri: Mhe. Paul Christian Makonda

24. Wizara ya Mifugo na Uvuvi
a) Waziri: Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa
b) Naibu Waziri: Mhe. Ng'wasi Damas Kamani

25. Wizara ya Madini
a) Waziri: Mhe. Anthony Peter Mavunde
b) Naibu Waziri: Mhe. Dkt. Steven Lemomo Kiruswa

26. Wizara ya Nishati
a) Waziri: Mhe. Deogratius John Ndejembi
b) Naibu Waziri: Mhe. Salome Wycliffe Makamba

27. Wizara ya Katiba na Sheria
a) Waziri: Mhe. Juma Zuberi Homera
b) Naibu Waziri: Mhe. Zainabu Athman Katimba

Aidha, uapisho wa mawaziri na naibu mawaziri wateule utafanyika Ikulu Chamwino Dodoma tarehe 18 Novemba, 2025 kuazia saa 05.00 asubuhi.

Imetolewa na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi

Balozi Dkt. Moses M. Kusiluka KATIBU MKUU KIONGOZI
17 Novemba, 2025
 
Aiseee Dotto Biteko yuko wapi
Ni miongoni mwa Mawaziri 7 walio achwa

 

Similar threads

Back
Top