Advertise here

NIDA Yazindua Namba 15274 Kufuatilia Kitambulisho cha Taifa

Kasomi

JT Founder
1767120761264.jpg

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa nchini (NIDA) imezindua namba maalum ya ufuatiliaji wa vitambulisho vya taifa ikiwa ni sehemu ya maboresho ya utoaji wa huduma kwa wananchi.

KUFAHAMU: Kama Kitambulisho chako cha Taifa kimechapishwa.

Mwombaji anatakiwa kutuma ujumbe mfupi wa simu (sms) kama ifuatavyo

Andika namba yako ya Utambulisho wa Taifa (NIN) kwa usahihi, kisha tuma kwenda namba 15274
Huduma hii NI BUREE!
 
View attachment 1507

20060427615060000120
 
Back
Top