Kasomi
JT Founder
Je, wajua Usipotumia namba yako ya simu kwa siku 90 mfululizo bila kutoa taarifa kwa mtoa huduma wako, ana haki ya kuifunga na kuiuza kwa mtumiaji mwingine.
Ikiwa hautatumia laini yako ya simu kwa kipindi cha siku 90 mfukulizo, toa taarifa kwa mtoa huduma wako ili kuepuka kufungiwa au namba yako kupewa mtumiaji mwingine.