Kasomi
JT Founder
SABABU KWANINI WANAFUNZI WALIOFAULU NA WALIOFELI WANAENDA KIDATO CHA TATU
Kutoka Wizara ya Elimu Tanzania
"Ninaelekeza kwamba wanafunzi ambao hawakufikia alama za ufaulu za Kidato cha Pili mwaka 2025 waendelee na Kidato cha Tatu mwaka 2026 badala ya kukariri (kurudia) Kidato cha Pili. Wanafunzi hao watapewa programu maalum rekebishi (remedial programme) itakayotolewa wakati wakiendelea na masomo yao ya Kidato cha Tatu.
Uamuzi huu unazingatia kwamba mitaala iliyoboreshwa inatekelezwa kwa awamu. Wanafunzi waliofanya Upimaji wa Kidato cha Pili mwaka 2025 walitumia mtaala wa zamani na watamaliza Kidato cha Nne kwa kutumia mtaala huo wa zamani. Wanafunzi wanaoingia Kidato cha Pili mwaka 2026 watatumia Mtaala Ulioboreshwa ambao walianza kuutumia Kidato cha Kwanza. Hivyo, endapo wanafunzi walioshindwa kufikia alama za ufaulu watarudia Kidato cha Pili mwaka 2026"