Kasomi
JT Founder
KILA BAADA YA SAA 1 WATOTO 15,000 WANAZALIWA DUNIA NZIMA....
Mwaka 1927 dunia ilikuwa na watu Billion 2 pekee.... Kufika mwaka 2022 dunia ilifikisha idadi ya watu Billion 8 kwahiyo ndani ya miaka 95 watu Billion 6 waliongezeka katika dunia hii
Kwa mujibu wa visual capitalist kwa mwaka 2023 WATOTO million 123
CHA KUSTAAJABISHA sasa dunia ina Nchi 193 lakini zaidi ya nusu ya WATOTO hao walizaliwa ndani ya Nchi 10 tu......
Nazo ni Bangladesh, DRC, Brazil, USA, China, India, Nigeria, Pakistani, Ethiopia na Indonesia ....
Ukiziangalia kwa umakini Nchi hizo utagundua bara LA
Asia Nchi 5
Africa Nchi 3
America kusini Nchi 1
America kaskazini Nchi 1
Hakuna Nchi yoyote kutoka bara LA ulaya
Ndani ya SAA moja WATOTO elfu 15 walizaliwa ....ambapo Nchi ya India ikiongoza duniani kwa kuzaliwa WATOTO 2651 ndani ya SAA moja
Huku Nigeria ikiongoza kwa Africa ambako ndani ya SAA moja WATOTO 857 walizaliwa