MAELEZO MAFUPI KWA WATAFUTA KAZI AJIRA PORTAL

Kasomi

JT Founder
MAELEZO MAFUPI KWA WATAFUTA KAZI​
FB_IMG_16558163980344985.jpg

01-Ajira Portal Ni nini??

Huu ni mfumo ambao serikali wameuweka kwaajiri ya kupokea maombi ya Kazi kutoka kwa watanzania mbali mbali.

02-Kipi Cha Muhimu hili niweze fungua ajira portal?

Uwe na vitu vifuatavyo
-Email iliyo active
-Namba ya NIDA
-Cv yako
-cheti Cha kuzaliwa
-vyeti vyako vyote vya taaluma
-Passport size soft copy
Kumbuka hivi vyeti vyote lazima utoe copy alafu upige muhuri wa mwanasheria alafu scan viweke Mfumo wa document.

03-Nini Cha Muhimu wakati naomba

Hakikisha Kazi unayo omba inaendana na kozi uliyo Soma.
Hakikisha barua uliyo andika Ina address ya utumishi na sio taasisi inayo ajiri mfano utumishi wametangaza Kazi niza BRELA usiandike address ya brela andika address ya
utumishi.

04-Barua inakuaje?
Unaweza andika kwa mkono au kwa Computer.
Ukiandika kwa computer hakikisha una print sehemu ya sahihi weka sahihi kwa mkono wako then scan document in PDF format ndio kaiweke sehemu ya application.
Kama umeandika kwa mkono scan barua yako tu uweke.

5-lugha hipi hutumika kuandika barua?

Kiswahili au Kiingereza vyote hukubalika ata Kama tangazo limetolewa kwa kiswahili unaruhusiwa kutumia Kiingereza,

6-Kama Akaunti imegoma funguka au nimesahau password nifanye nini?

Njia nzuri na Bora Kuna namba za desk help za utumishi uwa wanasaidia Sana watu jitaidi uwapigie.

Huu Ni Muongozo Mfupi
Ukihisi unahitaji kujifunza issue zakijamii karibu
 
MAELEZO MAFUPI KWA WATAFUTA KAZI​
View attachment 235

Ebwana kwang imegoma kabisa an na cjui tatizo lipo wap?
 
Similar threads

Back
Top