Kasomi
JT Founder
Kutoka kwa W A T U
"Kuna binti nilimtongoza kwa miaka minne akaja kukubali 2015 mimi nikiwa chuoni yeye akiwa mtaani maana aliishia darasa la saba.
Nikaanza kudate nae, nikatambulika mpaka kwao. Nikawa kila nikifunga narudi home hata field nilikuwa nafanyia home ikatokea akawa mjamzito.
Lakini cha ajabu hakuniambia. Basi akaanza harakati za kutoa mimba.
Mimi nikapata taarifa nikamkanya maana nilikuwa na malengo nae. Nikaanza kuhudumia mpaka akajifungua.
Kumbe kuna jamaa alikuwa anatoka nae pindi mimi nikiwa chuoni ila sikulijua hilo, hivyo nilimhudumia mpaka akajifungua.
Baadae nakuja kupata taarifa, mtoto kampa jamaa mwingine. Lakini mtoto ni copy yangu nifanyeje?"- Anonymous
#WatuNiStory