Kasomi
JT Founder
Anaandika Emmanuel Minga
Usijali juu ya vilivyopotea na ongeza nguvu kuvitunza vilivyobaki.
Maongezeko hayapo kwenye kuwa na hofu na maumivu ya vile vilivyopotea ila kujua namna ya kuvitumia vilivyobaki kwa manufaa.
Nilitesekaga sana na hii hali na baadaye nikaona ni upuuzi tu hainiongezei thamani yoyote!????
Wengi huwa wanajisahau na kuweka nguvu nyingi kufikiri juu ya vile vilivyopotea na kusahau kuvitunza vile vilivyobaki mikononi mwao.
Chenye thamani ni kile kilichobaki mikononi mwako na si kile kilichopotea hata kama kilichopotea kilikuwa ghali kuliko kilichobaki lakini cha muhimu ni kilichobaki mikononi mwako.
Usiumize kichwa kuwaza kilicho potea kwani stress zako haziwezi kukirudisha.
Ukiwa mtu wa namna hii kufanikiwa sahau kabisa!!
Jana ulipata hasara isikufunge kamba leo kufanya tena, mbona hata unavyotembea unajigonga mara nyingi, hata kwenye shughuri zako ni vivyo hivyo.
Sasa basi yaliyopita yaache yamepita , boresha yale uliyonayo ili upate matokeo bora kwa vile ulivyonavyo sasa.
Jua kuvitumia vile ulivyonavyo kama mtaji wa kukuinua na kuziba pengo la vile vilivyopotea.
Hii ndiyo siri ya mavuno????
Jifunze kanuni ya mbegu , hua inapotea moja lakini inarudisha mbegu zingine nyingi zaidi.
Usikae chini ukazidiwa na mawazo juu ya yale uliyoyapoteza. Ukijua sababu ya kwanini vilipotea inatosha ongeza juhudi kwenye kuzalisha vingine zaidi.
Kuyafikiria makosa kwa muda mrefu sio suluhisho la kurekebisha zaidi ya kuongeza madhara zaidi.
Sasa umepata hasara ya fedha unataka upate hasara ya kuumwa na stress tena, uko serious kabisa hasara hii ya pili unaitafita kwa nguvu zaidi, acha basi kichwa chako hakijakosa kitu usikitese kwa stress, makosa ni sehemu ya mchakato.
Huwezi kuibadilisha Jana wewe, geuka huku ndugu safari iendelee na mapambano yaendelee????
Lengo lako Liwe moja sasa kutengeneza hatima unayoitaka. Tatizo lolote likitokea katikati lisikutoe kwenye mstari just focus.

Upvote
0