B BeastBoy Guest Mar 23, 2022 #1 Asee nawapa big up sana kwa kuanzisha mtandao huu. mko vizuri sana machalii
T Trump New member Oct 11, 2025 #3 Hongereni kwa mtandao huu, ila sijaona jukwaa la Sheria. Kama halipo naomba mlianzishe
JamiiTalk Official Support Account Oct 11, 2025 #4 Trump said: Hongereni kwa mtandao huu, ila sijaona jukwaa la Sheria. Kama halipo naomba mlianzishe Click to expand... Asante kwa Maoni yako tutariweka Jukwaa hilo
Trump said: Hongereni kwa mtandao huu, ila sijaona jukwaa la Sheria. Kama halipo naomba mlianzishe Click to expand... Asante kwa Maoni yako tutariweka Jukwaa hilo
Kasomi JT Founder Oct 12, 2025 #6 JITUBANDIA said: Mbonahii ni copy ya Jamiiforums.?! Click to expand... Zinafanana