Advertise here

Elon Musk apata mtoto wa 14 na mfanyakazi wake Shivon Zilis

Kasomi

JT Founder
1740830733798.jpg

Miongoni mwa matajiri namba 1 duniani Bilionea Elon Musk amebarikiwa kupata mtoto wa 14 na mpenzi wake Shivon Zilis ambaye pia ni mfanyakazi wake kwenye kampuni yake ya Neuralink, mtoto huyu amepewa jina 'Seldon Lycurgus' na ni mtoto wa 4 kwenye familia yao na wa 14 kwa Elon Musk,
-
Sasa Elon anakuwa miongoni mwa watu maarufu Marekani wenye watoto wengi, ana watoto 14 na wanawake wanee tofauti,
Chanzo: SamMisagoTV
 
Back
Top