Kasomi
JT Founder
Manipulation ni nini ?
Angalia huu mfano kwanza.
Kuna mwamba alimkopesha mama yake 40k mama akamwambia atamlipa siku fulani. Sasa mwamba life likambana akawa anaihitaji ile pesa 40k a-solve baadhi ya mtatizo yake, sasa Siku hiyo ilipowadia mwamba akabidi aenda kufuata pesa yake.
Si mama akazingua bhana ???? akamwambia mimi nilikubeba miezi 9 nikakunyonyesha mpaka ukakua, ulinilipa?
Dah jamaa baada ya kusikia hayo maneno akakosa karata ya kucheza so ikabidi alambe asala na kusepa ????.
Hii si ndio mnaiita ngumi Ndoige au sio.? ????
Sasa hiyo Ngumi Ndoige sisi wateknolojia na Watu wa mambo ya social engineering tunaiita
So tukichunguza kwa makini hiyo story ya mama na mwana tunagundua kwamba mama ametumia Manipulation ili kumfanya mwanae asimdai na kufuta deni kabisa kwa kumfanya ajione mtoto asiye na shukrani.
Pia Hackers na Matapeli hutumia Manipulation ili waweze kufanikisha shughuli zao so kuweni makini mnapokuwa mitandaoni.
Unakuta mtu kakutumia ujumbe kwamba umeshinda milioni 7 sijui biko sijui droo za Vodacom hafu anaweka na namba ya simu upige ili wakutumie pesa hizo.
Unaweza kupiga wakakwambia utume pesa kiasi fulani ili kuzikomboa hizo milioni 7 ???? ukijichanganya ukatuma unajikuta umeyakanyaga ???? ???? .
Mara nyingi Manipulation huambatana na uongo uongo Pia Hackers na Matapeli hutumia Manipulation ili waweze kufanikisha shughuli zao so kuweni makini mnapokuwa mitandaoni.

Mara nyingi Manipulation huambatana na uongo uongo ili kuleta ushawishi zaidi so wanangu kuweni makini.
Take care.
Imeandikwa na Raven
Angalia huu mfano kwanza.
Kuna mwamba alimkopesha mama yake 40k mama akamwambia atamlipa siku fulani. Sasa mwamba life likambana akawa anaihitaji ile pesa 40k a-solve baadhi ya mtatizo yake, sasa Siku hiyo ilipowadia mwamba akabidi aenda kufuata pesa yake.
Si mama akazingua bhana ???? akamwambia mimi nilikubeba miezi 9 nikakunyonyesha mpaka ukakua, ulinilipa?
Dah jamaa baada ya kusikia hayo maneno akakosa karata ya kucheza so ikabidi alambe asala na kusepa ????.
Hii si ndio mnaiita ngumi Ndoige au sio.? ????
Sasa hiyo Ngumi Ndoige sisi wateknolojia na Watu wa mambo ya social engineering tunaiita
MANIPULATION.Manipulation ni kitendo cha kumlaghai mtu au kumpanga kisaikolojia ili aweze kufanya vile wewe unataka bila yeye kugundua.So tukichunguza kwa makini hiyo story ya mama na mwana tunagundua kwamba mama ametumia Manipulation ili kumfanya mwanae asimdai na kufuta deni kabisa kwa kumfanya ajione mtoto asiye na shukrani.