Kasomi
JT Founder
Hii ndio sababu unatumiwa bili ya Maji hata usipotumia
Kuna muda Maji hua yanakata lakini baadae hutumiwa bili na kuhisi unaibiwa sababu hujayatumia basi sababu ni hii.
1- Mashirika ya Maji Tanzania hutumia Makadirio (Estimated Billing) – hii ndio Sababu kubwa zaidi
Mara nyingi shirika la maji halisomi mita kila mwezi kwa macho.
Badala yake:
Wanatumia wastani wa miezi iliyopita
Wanakadiria matumizi yako
Mfano:
Mwezi Jan: 15m³
Feb: 18m³
Mar: 17m³
Wastani ≈ 17m³
Hivyo hata maji yakikata, mfumo unaweza kukuwekea 17m³ kwa makadirio, si usomaji halisi.
2- Usomaji wa makosa ya binadamu
Wakati mwingine:
msomaji anaandika vibaya namba
anaweka reading ya nyumba nyingine
au anakosea digit (mfano 120 badala ya 102)
Hii huongeza bill kimakosa.
3- Mfumo wa “Minimum Consumption”
Baadhi ya mashirika huweka:
kiwango cha chini cha malipo hata kama matumizi ni 0
Mfano:
Minimum 5m³ lazima ulipie
Hivyo utaonekana umetumia hata kama hujatumia.
4- Presha ya maji kwenye mabomba
Wananchi hawajapewa elimu kuwa kama atafungualia bomba na maji yakawa hayatoki Asiache koki wazi afunge Sasa Wananchi Wengi tunaacha koki zikiwa wazi badala Kasi ya maji huzalisha mkusanyiko wa hewa hewa husafiri kwa Kasi na kufanya MITA kuzunguka kwa kutoka na presha (hewa) wakati maji yakiwa hayatoki hiyo kufanya kusoma unit hewa zisizo kuwa na matumizi ya maji.