Advertise here

Je, unafahamu Rais wa Uganda Yoweri Museveni alifundisha Chuo cha Ushirika Moshi (MoCU) na pia alisoma UDSM

Kasomi

JT Founder
Rais wa Uganda Yoweri Museveni alifundisha Chuo cha Ushirika Moshi na pia ashawahi kusoma UDSM
museven.jpg

Elimu
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam: Museveni alisoma Shahada ya Uchumi na Sayansi ya Siasa katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) nchini Tanzania (1967–1970). Hapo ndipo alipoanza harakati za kimapinduzi na kukutana na itikadi za Pan-Africanism.
Mwalimu nchini Tanzania: Kabla ya kuingia msituni, aliwahi

Kazi
Museveni alishawahi kufundisha katika Chuo cha Ushirika Moshi (Moshi Co-operative College) kwa sasa university nchini Tanzania mwaka 1972.
 

Similar threads

Back
Top