Je, kibweteere ashawahi kuwa padre?

Office

Member
1763627105829.jpg

Nimefuatilia mwandiko mengi kuhusu Mchungaji Kibweteere na wafuasi wake mengine yakitaja alikuwa padre mengine yakikanusha.
Je kibweteere ashawahi kuwa padre?
 
Solution
Hapana, Kibwetere hakuwahi kuwa padre wa Kanisa Katoliki. Joseph Kibwetere alikuwa kiongozi wa kidini wa Uganda aliyeanzisha kikundi cha Movement for the Restoration of the Ten Commandments of God (Urejeo wa amri kumi za Mungu')

Ingawa alilelewa katika familia ya Kikatoliki na alihusiana na Kanisa hapo awali, hakupata daraja la upadri rasmi.

Kikundi chake kilitokana na mafundisho ya Kikatoliki yaliyopotoshwa, na kilihusishwa na mauaji ya halaiki ya mwaka 2000 ambapo mamia ya wafuasi walifariki kwa moto katika kanisa lao huko Kanungu, Uganda.

Kwa hivyo, Kibwetere alikuwa kiongozi wa dhehebu, si padre halali wa Kanisa Katoliki.

Unaweza soma kisa chake hapa

Similar threads

Back
Top