Kasomi
JT Founder
Hatua ya mwanzo kama umeweka windows mpya au OS nyingine hakikisha una updates kwanza PC kwenye mtandao imara kama sehemu za WiFi ya umma au ya office ambapo utatumia data nyingi.
Kama tatizo linaendelea fuata hatua hizo
1- Zima Windows Updates.
Nenda Settings > Update & Security > Windows Update.Bonyeza "Pause updates for 7 days" au nenda Advanced options uzime kwa muda mrefu zaidi.
2- Zima Background Apps
Nenda Settings > Privacy > Background apps.Zima "Let apps run in the background".
3- Delivery Optimization
Nenda Settings > Update & Security > Delivery Optimization.Zima "Allow downloads from other PCs".
4- Angalia Ni App Ipi Inakula Data
Nenda Settings > Network & Internet > Data usage.Hapo utaona orodha ya apps na kiasi cha data zilizotumia. Kama kuna app hauitumii lakini inakula data ifunge
5- Zima Sync ya OneDrive
Kama unatumia Microsoft account, OneDrive inaweza kuwa inasawazisha (sync) mafaili makubwa.Bonyeza alama ya wingu (OneDrive) chini kulia (Taskbar).Nenda Settings > Pause syncing.
6- Weka "Metered Connection" (Hii ni Muhimu Zaidi)
Hii inaiambia Windows kuwa unatumia data za kununua (kama hotspot), hivyo inazuia updates za kiotomatiki.Nenda Settings > Network & Internet > Wi-Fi (au Ethernet).Bonyeza jina la Wi-Fi unayotumia.Washa "Set as metered connection".