Mafanikio ya asilimia kubwa

Juno vanner

New member
Kamwe usiache kumshukuru mungu Kila unapoiona Leo☀️,kua mtu wakuweka au kutunza kumbukumbu,fikiri kabla yakutenda🤔,jali sana kupata faida na zuia sana hasara nanjia ya kuzitatua🔜
And kamwe usikubali kutoka nje ya ndoto zako.ishi kwenye ndoto zako
 

Similar threads

Back
Top